Tengeru Arusha: Tatizo la kukatika umeme, TANESCO nini tatizo?

Bee hive

Senior Member
Feb 22, 2012
146
54
Nipo maeneo ya Tengeru Arusha kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na hili tatizo la kukatika katika kwa umeme mchana na usiku.

Wahusika (TANESCO) wakiulizwa, hawatoi majibu. Tatizo ni nini?, je hili tatizo ni eneo hili tu au na wengine mnakabiliwa na hii shida?, litaisha lini hili tatizo?
 
Back
Top Bottom