Tengeneza Tovuti Bila Kulipia

Tengeneza Tovuti Bila Kulipia

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Habari wana JF, Natumaini wote mko salama. Weekend ya leo nataka kushare na nyie njia ya kutengeneza tovuti website bila kulipa gharama yoyote. Njia hii itakusaidia kuweza kutengeneza domain ya bure pamoja na kupata njia rahisi ya kuweza ku-host website yako.

Unaweza kutengeneza Blog, Website ya ofisi au hata tovuti ya wasifu yenye jina lako. Njia hii ni rahisi na nzuri sana kwa wale wanao anza kuwa na website au tovuti kwa mara ya kwanza, basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii rahisi.

LINK MAALUM
1. Tovuti ya Freenom kwaajili ya domain ya bure - Freenom - A Name for Everyone
2. Unaweza kupata Templent za bure za blogger hapa - Blogger Templates
3. Tovuti niliyotengeneza ya bure - Teknolojia
4. Tovuti ya Tanzania Tech kwaajili ya Habari za Teknolojia - Tanzania Tech
5. App ya Tanzania Tech ya iOS na Android - Tanzania Tech
KWA #MAUJANJA ZAIDI HAKIKISHA UNAENDELEA KUTEMBELEA TANZANIA TECH PIA USISAHAU KU-LIKE, SUBSCRIBE NA KAMA UMEKWAMA TUANDIKIE KUPITIA MAONI HAPO CHINI.
 
TCRA hawaidai vibali web ya namna hii?

Ninaweza kuimonetize?
 
Template uliyotumia kwenye hiyo blog ya teknlojia inaitwaje???
 
Namaanisha kuidai vibali kama iliyosababisha baadhi ya blogs na websites kufungiwa
Sina uhakika sana na unacho uliza ni vizuri kutembelea Tovuti ya TCRA au unaweza kutengeneza uzi hapa Jamii forum ili kujua zaidi.
 
Basi naomba nianzie mbali kidogo.

TCRA walitoa maelekezo ambayo yalitaka wamiliki wa blogs, websites, youtube na online radio walipie ada ya vibali na leseni ya kumiliki nilivyovitaja. Leseni itakua inahuishwa upya kila mwaka.

Kushindwa kulipia hivyo vibali na kukata leseni kutafanya umiliki uwe batili na website, blog, channel ya youtube au online radio husika itafungiwa.

Haukusikia hili swala chief?
 
Nimesikia na nimekujibu hapo Juu > Inategemewa na aina ya tovuti uliyo nayo. Kama ni tovuti ya Biashara au tovuti ya kampuni basi huna haja ya kulipia. Tovuti ya biashara na maana kama tovuti ya kuuza na kununua au zingine kama hizo.
 
Asante
 
Tcra wana deal na tovoti na blog za habari tu
 
Habari wana JF, Natumaini wote mko salama. Weekend ya leo nataka kushare na nyie njia ya kutengeneza tovuti website bila kulipa gharama yoyote. Njia hii itakusaidia kuweza kutengeneza domain ya bure pamoja na kupata njia rahisi ya kuweza ku-host website yako.

Unaweza kutengeneza Blog, Website ya ofisi au hata tovuti ya wasifu yenye jina lako. Njia hii ni rahisi na nzuri sana kwa wale wanao anza kuwa na website au tovuti kwa mara ya kwanza, basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii rahisi.

LINK MAALUM
1. Tovuti ya Freenom kwaajili ya domain ya bure - Freenom - A Name for Everyone
2. Unaweza kupata Templent za bure za blogger hapa - Blogger Templates
3. Tovuti niliyotengeneza ya bure - Teknolojia
4. Tovuti ya Tanzania Tech kwaajili ya Habari za Teknolojia - Tanzania Tech
5. App ya Tanzania Tech ya iOS na Android - Tanzania Tech
KWA #MAUJANJA ZAIDI HAKIKISHA UNAENDELEA KUTEMBELEA TANZANIA TECH PIA USISAHAU KU-LIKE, SUBSCRIBE NA KAMA UMEKWAMA TUANDIKIE KUPITIA MAONI HAPO CHINI.
Asante sana, kupitia maelekezo hayo nmeweza kufungua website ila ningependa kuitumia kujifunza zaidi maana sio mjuzi wa hizi mambo

Ni kwa namna gani naweza kuifanya website hiyo ionekane kwenye search engine
 
Karibu sana naandaa makala jinsi ya kuweza kutengeneza App kwaajili ya Hiyo website pamoja na jinsi ya kuweka template.
 
Je naweza kutumia domain hiyo ya freenom nikabadili blog yangu ambayo nilishatengeneza inatumia free domain ya .blogspot
 
Samahani kwa kuchelewa kujibu, Ndio unaweza kufanya hivyo Fuata hatua kwenye video hapo juu. Kama utakwama pia unaweza kutuandikiwa hapa.
 
Bado Hatua cheche zimebaki kwaajili ya App ya website uliyotengeneza kwa kufuata njia hii hivyo kama bado huja jifunza hatua hizi hutoweza kutengeneza app hii hivyo ni muhimu kufuata njia hizi kwanza. Utaweza kuweka app hiyo Play Store pia kwa njia rahisi nitakazo kupa pia.
 
Back
Top Bottom