Ipi dot com
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 301
- 113
nimeku pm mkuumkuu hawa mega sio matapeli. Ni kweli kabisa.pia wanalipa papo kwa papo kupitia M-PESA inamaana hata voda wanaijua hii biashara
Naifahamu kiasi biashara ya network marketing lakini moja ya nguzo ya hii network marketing ni ushuhuda kama forever living japo ni wachache wanaofanikiwa. Pili ni nini wamemlenga mtu wa mwisho (bidhaa) tatu uhakika wao wanapatikana wapi na uhalari wa kufanya kazi kwetu labda utusaidie kwa hayo mkuu.ound:
Jamani watanzania tupende kujifunza vitu,mie huwa nafanya network marketing.NTWK marketing ni biashara halali na inataka uelewa kama shughuli nyingine yoyote ili ufanikiwe na anayetakiwa kukupa huo uelewa ni yule anayekukaribisha kwenye mtandao kama ukikaribishwa na mtu ambaye kashindwa ni wazi hata wewe utashindwa manake huyo ndio anakuwa mentor wako mkubwa,kwa upande wangu naiona ni nzuri na ina mafanikio kama uko makini pia sio ngumu.Pia lazima kuwe na bidhaa zinazouzwa na ndio zinazoleta hizo faida wanazopewa wanachama.Nilichokiona kwenye Megawealth ni network marketing nyingine ambayo bidhaa zake ni vitabu,nafasi za matangazo nk.Naweza sema E-NTWK MARKETING.Tujifunze na kujaribu kupata uelewa wa mambo kwa uhalisi wake na si kutegemea fikra za walioshindwa na kukatishana tamaa,mtasema freemason,mara sijui nini wakati mnaona bidhaa za GNLD,FLP na hizo za Megawealth mwisho wa siku watkwambia na jirani zako freemason utakubali,na wazazi wako....lakini ukweli unaujua wewe.

heshima kwako mkuu unafaa kuwa mwalimu maana umenivutia kwa maelezo yako.sasa naanza kupata picha. Endelea kutoa somo mkuu tujifunze zaidi
mkuu jiunge au nikutumie id yangu mana lazima uingizwe na mtu pls yeyote anaetaka kujiunga anijulishe nimpe id yangu ajiunge
Naifahamu kiasi biashara ya network marketing lakini moja ya nguzo ya hii network marketing ni ushuhuda kama forever living japo ni wachache wanaofanikiwa. Pili ni nini wamemlenga mtu wa mwisho (bidhaa) tatu uhakika wao wanapatikana wapi na uhalari wa kufanya kazi kwetu labda utusaidie kwa hayo mkuu.ound:
hahaha! Nimecheka mno ila shauri yako wakikusikia utatafuta mlango wakutokea.
Si ni kweli lakini? Mwingine aliyeweza kutengeneza pesa huku amelaa ni Matonya ombaomba maarufu nchini!
DECI ilikuwa powa lakini serikali ya magamba ilipostukia kuwa inaendeshwa na wakritu, ika-disturb system tukaliwa. Bado tuna hasira na magamba mnakuja na mtandao wa Freemasons (Lucifer argents) tumestuka ingawa serikali ya msanii haiwezi kuifunga!