Tengeneza pesa huku umelala HII BIASHARA IMEKAAJE? NANI ANAFANYA ANIJUZE?

Naifahamu kiasi biashara ya network marketing lakini moja ya nguzo ya hii network marketing ni ushuhuda kama forever living japo ni wachache wanaofanikiwa. Pili ni nini wamemlenga mtu wa mwisho (bidhaa) tatu uhakika wao wanapatikana wapi na uhalari wa kufanya kazi kwetu labda utusaidie kwa hayo mkuu.:pound:
 
kaka mkubwa kuna mengi sana ya kujifunza kabla usiku haujaingia.
 
Jamani watanzania tupende kujifunza vitu,mie huwa nafanya network marketing.NTWK marketing ni biashara halali na inataka uelewa kama shughuli nyingine yoyote ili ufanikiwe na anayetakiwa kukupa huo uelewa ni yule anayekukaribisha kwenye mtandao kama ukikaribishwa na mtu ambaye kashindwa ni wazi hata wewe utashindwa manake huyo ndio anakuwa mentor wako mkubwa,kwa upande wangu naiona ni nzuri na ina mafanikio kama uko makini pia sio ngumu.Pia lazima kuwe na bidhaa zinazouzwa na ndio zinazoleta hizo faida wanazopewa wanachama.Nilichokiona kwenye Megawealth ni network marketing nyingine ambayo bidhaa zake ni vitabu,nafasi za matangazo nk.Naweza sema E-NTWK MARKETING.Tujifunze na kujaribu kupata uelewa wa mambo kwa uhalisi wake na si kutegemea fikra za walioshindwa na kukatishana tamaa,mtasema freemason,mara sijui nini wakati mnaona bidhaa za GNLD,FLP na hizo za Megawealth mwisho wa siku watkwambia na jirani zako freemason utakubali,na wazazi wako....lakini ukweli unaujua wewe.
 
heshima kwako mkuu unafaa kuwa mwalimu maana umenivutia kwa maelezo yako.sasa naanza kupata picha. Endelea kutoa somo mkuu tujifunze zaidi
 
mkuu umeongea point ujue watanzania tunamajibu ya jumla jumla wala atutaki kujifunza au kuchunguza jambo mara zote ni kukurupuka na kulinganisha na kushindwa kulikopita
 
heshima kwako mkuu unafaa kuwa mwalimu maana umenivutia kwa maelezo yako.sasa naanza kupata picha. Endelea kutoa somo mkuu tujifunze zaidi

mkuu jiunge au nikutumie id yangu mana lazima uingizwe na mtu pls yeyote anaetaka kujiunga anijulishe nimpe id yangu ajiunge
 
Dr Phone, nimependa sana juhudi zako za ku convice watu watumie id yako, sio mbaya maana kuwapata hao watu saba inahitaji ushawishi wa kutosha. Nafikiri watu wanaipenda na ndio maana wanajitahidi kutafuta detail za kutosha kabla ya kujiunga. Kuna aliyeifananisha na Deci nafikiri hilo halina ukweli coz ukijiunga tu hizo elfu 77, unazituma kwa watu tofauti tofauti kupitia account zao za Mpesa. Kama una detail zaidi hebu tupe basi Mkuu......
 
DECI ilikuwa powa lakini serikali ya magamba ilipostukia kuwa inaendeshwa na wakritu, ika-disturb system tukaliwa. Bado tuna hasira na magamba mnakuja na mtandao wa Freemasons (Lucifer argents) tumestuka ingawa serikali ya msanii haiwezi kuifunga!
 
Ila heading ilinitisha, vyangu tu ndo huwa wanatengeneza pesa huku wamelala!
 
Naifahamu kiasi biashara ya network marketing lakini moja ya nguzo ya hii network marketing ni ushuhuda kama forever living japo ni wachache wanaofanikiwa. Pili ni nini wamemlenga mtu wa mwisho (bidhaa) tatu uhakika wao wanapatikana wapi na uhalari wa kufanya kazi kwetu labda utusaidie kwa hayo mkuu.:pound:

Nimefurahi ulivyosema unaifahamu kiasi na kwamba si wote huwa wanafanikiwa,pale utakapoifahamu vizuri ndio utajua kwa nini wachache ndio hufanikiwa na ndivyo vivyo hivyo katika nyanja zote za maisha wanaofanikiwa ni wachache.Ntwk marketing wengi hawaijui wanafikiri ni just simply marketing,ila wale walio tayari kuifahamu vizuri na kufanya kazi ndio wenye mafanikio.jifunze zaidi ndugu.
 
Si ni kweli lakini? Mwingine aliyeweza kutengeneza pesa huku amelaa ni Matonya ombaomba maarufu nchini!

kweli kabisa anko sam.niliwahi kuona picha ya matonya akiwa amelala pembeni ya dimbwi hukoo moro.mh! Labda na hii mega ipo kama changu na matonya ki-mtindo.
 
DECI ilikuwa powa lakini serikali ya magamba ilipostukia kuwa inaendeshwa na wakritu, ika-disturb system tukaliwa. Bado tuna hasira na magamba mnakuja na mtandao wa Freemasons (Lucifer argents) tumestuka ingawa serikali ya msanii haiwezi kuifunga!

kwanini haiwezi kuifunga?
 
hizo hela za downline yako zinalipwa na nani?( wewe ama kampuni) na je kuna access ya kuwaona watu kwenye tree diagram yako?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom