Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
vodacom itasaidia wadau wote mnaoweza kutengeneza app za simu voda imetoa shindano ambalo litakuwezesha uvute mkwanja iwapo app yako wa2 wataiappreciate mbali na hapo utaweza kushhnda 175,000 tzs na zawadi nono ya mkali wa wakali fainali ni zaid ya 30,000,000 tzs shindano linaitwa vodacom appstar soma zaid http://vodafoneappstar.com/