Tengeneza ela na shorte.se

Tengeneza ela na shorte.se

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,934
uwa ninapenda kuandika makala za crime and investigation.
nilipata wazo la kutengeneza blog ila nikaja kugundua kumbwe adsense hawa support Kiswahili hivyo nikawa nahangaika kutafuta mbadara ndipo nikagundua hawa wanajiita shorte.se ambao nao ni kama adfly.
wanali[pa vizuri kama wanaoclick hizo link ni traffic ya US.
nimeanza juzi sijapata traffic kubwa kama mnavyoona hapo ni watu 180 tu.
wanalipa kwa njia ya paypal
webmoney
na payoneer
wanalipa kila baada ya siku 10 unaweza withdraw pesa yao as long as inafika 5$
ela.jpg
 
Mr. Nashukuru kwa kunifumbua macho. Mm mwenyew nataka kufungua blog mbili zenye content za kiswahili lkn nimejaribu kuangalia kuhusu kwanza, seebait na pinpoint Africa lkn nikapata jibu wababaishaji kweny malipo na hawana matangazo mengi.
1.Kwa njia hiyo ya paypal mpunga unatolea wapi maana nasikia TZ hawasupport paypal?
2. Je, Ni kampuni gani mbali na hiyo inayotoa mpunga mzuri kwa content za kiswahili?
 
Kweli paypal hawapokei ela kwa Tanzania kwahiyo hapo njia ya kupata pesa ni via payoneer.
Unaingia kwenye web ya payoneer unajaza form watakutumia kadi kwa njia ya posta then utaiactivate so ela itakuwa inawekwa humo unaweza withdraw kwenye atm yoyote inayokubari visa/master card
 
jr garama ha hio card yao ni kiasi gani
 
Uongo ni nini kati ya nilichoandika?
Uongo ni shorte.st au payoneer?
Usidhani ni kazi rahisi kupata hiyo ela inabidi uwe na clicks za kutosha na ukiwa na clicks za USA ndipo unapata zaidi na ukiwa mtu wa kukata tamaa huwezi fikiaha hata dola 5.
Payoneer hawana uhusiano na shorte.se ila hii ni njia ya kupokea malipo nadhani wengi ambao ufanya kazi na kulipwa from abroad watakuwa wanaijua hii njia hata kuna watu wa google adsense nadhani wanapokea via payoneer.
No research no right to speak
 
Achana naye huyo. Wivu na ujinga unamsumbua. Mambo unayoyaweka hapa baadhi hawapendi , wanataka watu waendelee kuwa mbumbuu ili wao wapige hela.
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] Acha kutupumbaza mzungu kukulipa USD 5 si kazi rahisi waweza kaa mwaka mzima .
 
Nshomile usidhani unajua kila kitu na hakuna niliposema ni kazi rahisi maana ela inapatikana kutokana na clicks
 
Back
Top Bottom