Tenga kugombea CAF.....

Tenga kugombea CAF.....

Boooongeee

Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
19
Reaction score
3
Kwa mujibu wa taarifa niliyoisoma kwenye website moja ya azamfc.com ni kwamba raisi wa tff ambaye alitangaza kutogombea tena kwenye uchaguzi mkuu ujao wa tff ana jipanga kugombea CAF kushindana na Isa Hayatu,
Bonyeza hapa azamfc.com kwa taarifa zaidi.
 
Amefanya lipi la maana kuinua kiwango cha mpira hapa Bongo?

Anagombania ili afanye nini? Akuze kabumbu Afrika au anataka kugeuza CAF kama ATC/ ATCL?
 
Back
Top Bottom