njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 228
Katika kipindi cha jambo tanzania cHa TBC1 25/1/2013. Marin Hasan mtangazaji wa kipindi hiko akichangia picha inayomwonesha rais kikwete,Sef Bletter wakiwa na rais wa TFF;Leodger Chilla Tenga amesikika akisema '' kwa taarifa yako tenga anapigiwa chapuo na blatter kumrithi issah hayatou, na si waijua sauti ya blatter akiongea'' SOUCRE TBC1