Tendo la ndoa ni dawa

Tendo la ndoa ni dawa

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,144
Habar za muda huu wana jamvini, me leo nilikuwa naomba kuuliza eti ukifanya tendo la ndoa ni dawa, maana me siku nikiamka bila ya kupewa tamu(sex) na my wyf bas siku hiyo nikienda kazin nakuwa mnyonge, kisiran na nashindwa kufanya kaz kwa ufasaha na najisikia mzito sana ntapooza siku nzima, but siku ikitokea mke wangu akanipa tamu vizur bas nitaamka mchangamfu kupita siku zote na ntafanya kaz kwa ufanis mkubwa but mpaka leo sijaelewa kuwa tendo la ndoa ni dawa?
 
ni dawa,kwa maelezo zaidi mpm Mzee wa rula na Asprin
 
Habar za muda huu wana jamvini, me leo nilikuwa naomba kuuliza eti ukifanya tendo la ndoa ni dawa, maana me siku nikiamka bila ya kupewa tamu(sex) na my wyf bas siku hiyo nikienda kazin nakuwa mnyonge, kisiran na nashindwa kufanya kaz kwa ufasaha na najisikia mzito sana ntapooza siku nzima, but siku ikitokea mke wangu akanipa tamu vizur bas nitaamka mchangamfu kupita siku zote na ntafanya kaz kwa ufanis mkubwa but mpaka leo sijaelewa kuwa tendo la ndoa ni dawa?
Ni dawa nani tiba kwa watu walio kwenye uhusiano wa ndoa walio oana na ni kama mazoezi lakini ni hatari kwa watu viruka njia na ni kifo na wewe umejiendekeza kuwa usipofanya unakuwa mnyonge ila ni nzuri kwa sababu umeoa
 
Mindset tu..ambao hawajaoa mbna wana perform vizur kwenye kaz zao mkuu? Nadhan hyo umejenga tu kwenye akili kwamba usipopata unakuwa na kisirani...
 
Habar za muda huu wana jamvini, me leo nilikuwa naomba kuuliza eti ukifanya tendo la ndoa ni dawa, maana me siku nikiamka bila ya kupewa tamu(sex) na my wyf bas siku hiyo nikienda kazin nakuwa mnyonge, kisiran na nashindwa kufanya kaz kwa ufasaha na najisikia mzito sana ntapooza siku nzima, but siku ikitokea mke wangu akanipa tamu vizur bas nitaamka mchangamfu kupita siku zote na ntafanya kaz kwa ufanis mkubwa but mpaka leo sijaelewa kuwa tendo la ndoa ni dawa?

Kwa mantiki hiyo, ili uweze kuchapa kazi vzr inabidi upigwe dozi kuanzia jtatu mpaka jmosi? Huyo shem wetu si unamchosha sana? au kazoea?
 
Ni dawa yaa ugonjwa gani?

Kumbe ufanisi mbaya kazini ni ugonjwa? No wonder serikali yetu haitengemai kumbe wagonjwa?

Hebu kapropose hii medisini kwa jk
 
khaaaaaaaaaa! j2 njema wakuuu.
kwa leo ni hayo tu ninayoweza kusema kwani staki kuharibu ekarist yangu, wala kwaresma.
 
kwani dawa maana yake ni nini?mi naona hata kuliwa 0713 itakuwa dawa kwa mantiki hiyo?
 
Hakuna kitu kama hicho!! kama ndo hivyo mwenzi wako akiumwa au akiwa analea itakuwaje?? Ni kujiendekeza tu!!
 
kila siku itaisha wewe khaaa kwani mwenzio hachoki?
 
kila siku!!!!!!! ingekuwa mimi ningekuruhusu unitafutie msaidizi ha ha haaaaaa haaa
 
Wonders shall never end..! Huko n kuchoshana 2.. Kila siku upate tamuuu ili uwe poa, daaaaah
 
Habar za muda huu wana jamvini, me leo nilikuwa naomba kuuliza eti ukifanya tendo la ndoa ni dawa, maana me siku nikiamka bila ya kupewa tamu(sex) na my wyf bas siku hiyo nikienda kazin nakuwa mnyonge, kisiran na nashindwa kufanya kaz kwa ufasaha na najisikia mzito sana ntapooza siku nzima, but siku ikitokea mke wangu akanipa tamu vizur bas nitaamka mchangamfu kupita siku zote na ntafanya kaz kwa ufanis mkubwa but mpaka leo sijaelewa kuwa tendo la ndoa ni dawa?

sasa akienda mwezi nakuwaje...
 
Mkuu fanya mpango wife awe anakupa dozi asubuh badala ya jion!

Ukifanikiwa hili .. Promotion kwako wala haichukii round.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom