Tendo la ndoa linahitaji ushirikiano, gawaneni majukumu muwapo kitandani

Yeah mkuu ...Yan wanawake wengine hata hawajistukii ...kwenda kujisafisha ili kuwa tayari kwa mpambano wa pili ..anajiachia kihasara hasara tuu. .matokeo yake network haisomi tena tunakuja lalamikiwa kuwa eti tuna upungufu wa nguvu za kiume ...
Wakati nguvu tunazo za kutosha. Linaondoka hapo na story ya kuwa una kibamia na huna nguvu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom