nakubaliana na wote....tenda za bima za mashirika ya umma wote wanaipa astra ...bot, ttlc, tra ppf,tpa nk
ppra jee mnyajua haya ?
Wanakula rushwa kuwapa na hii kampuni si ya kizalendo ni ya kenya.....imewapa share wanasiasa ambao ndio wanao lazimisha haya na kuondoa ushindani
naamini kuna makampuni mengi ya broker mazuri na yana uwezo mkubwa kuliko ilivo astra ila kuna tatizo la rushwa kubwa