Tenda ya kusambaza samaki au nyama

Tenda ya kusambaza samaki au nyama

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Mi nina usafiri wangu aina ya boda boda, nipo dar es salaam Mwenye biashara ya nyama au samaki naomba tuelewane niweze niwe nakusambazia kwa wateja wako malipo ya usafir ni maelewano namba yangu ni 0714 064767
 
Safi sana kijana kwa kuona fursa
Wazo lako zuri sana
Ila nakushauri pia tembelea maduka ya wanaouza nyama hizo ili uangalie kama wanachukua stock ya kiasi gani
Maana wapo wanaochukua mzigo mkubwa ambapo piga uwa huuwezi,ila kwa wale wenye mzigo mdogo unaweza kula tender.Angalau ungekuwa na ki carry hapo ungeweza kupenya kiasi
 
Back
Top Bottom