Temporary job....

Temporary job....

Ness

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Mimi ni binti wa kitanzania,nina miaka 20,naishi Dar,nmemalza kidato cha nne na kupata div 3,natafuta kazi yoyote ya kujishikiza mpka september ntakapoenda chuo,i speak fluent english,nina ujuz na computer hasa ms word n excel,mi ni mchapakazi sana.
 
okey...anzisha ata tution centre,ajira ngumu degree 2 wa2 wanaangaika ila komaa kila m2 ana bahati yake.best of lucky.
 
Mimi ni binti wa kitanzania,nina miaka 20,naishi Dar,nmemalza kidato cha nne na kupata div 3,natafuta kazi yoyote ya kujishikiza mpka september ntakapoenda chuo,i speak fluent english,nina ujuz na computer hasa ms word n excel,mi ni mchapakazi sana.

ucjal dadangu utapata kaz
 
Watu wana PHD hawana sehemu ya kujishikiza eti wewe form four kweli utapata.Ungekuwa umemaliza form six ningekushauri uende shule hizi za kata upige vipindi lakini kwa form four ndugu yangu utazunguka sana angalau ukiwa mtoto wa flani aaaah mbona ungeenda hata wizarani kupanga mafail wakati unasubiria kwenda tution jioni.lakini kama wewe ni mwenzangu na mimi ni ngumu sana
 
Mi nahitaji binti wa kazi

'mi ni mwanaume bwana usione hiyo Mwana ukadhani ni binti laa hasha,kazi hiyo kazi gani mkuu...............na vigezo na masharti vitazinga-tiwa au hamna vigezo na masharti kwenye hiyo kazi mzee,fafanua bwn'
 
Nahitaji kijana wa kushughulikia mifugo
 
binti ajira za sasa ni zakujuana, kumbuka kuna watu wamemaliza vyuo wenye ujuzi zaidi yako wanasugua benchi, nakushauri tafuta maarifa ya kujiajiri au uendeleze ujuzi wako wa computer ukisubilia september
 
Kuna workshop ya ujasiriliamali this saturday unaweza kuja kujifunza selfemployment 0717310748.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom