Temesa na Wananchi _ Kigamboni

Temesa na Wananchi _ Kigamboni

mpambanaji

Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
22
Reaction score
1
Jamani, kuna kitu hapa naona hakiko sawa. Hoja si tusilipe nauli wala si kutokukusanya mapato.
"Kwa mujibu wa Temesa, nauli za kivuko kwa watu wazima ni Sh200 na watoto hadi miaka 14 ni Sh50, huku wanafunzi wakipanda bure".:wave: Source; Mwananchi 27th Aug. 2013​
Hili ndilo ninalotamani tupate michango yetu: ni watoto gani hawa ambao utaondoa wanafunzi kwenye kundi lao? Habari ya pikipiki ya miguu 3 na bajaji 1,500 kwa 1,800 si sana, labda ni utility na non utility facilities🙂.
 
Back
Top Bottom