Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,025
- 285,558
Ni aibu sana !Ndoa za siku ni kipengelee, maana hata wanao ingia kwenye ndoa unakuta wamekutana kitambaa cheupe au kidimbwi alfajiri wakati Dj anafunga mziki unafikiri hapo ku a nini
Watu wanaingia kwenye ndoa kwa matamanio ya mwili, mtu kafinyiwa kwa ndani siku moja tu, kesho anatangaza ndoa 😀😀😀Ni aibu sana !
Zote zote, hata kitaa tunaona aisee sio za wapi wala wapi .. wakati mwingine wanao dumu ni wale sogeza tukae kuliko ndoa officialJe ni aina gani hz za ndoa zinavunjika zaidi
Za kanisani
za bomani
za msikitini au
za mkeka?
Labda ndoa za kiislam, zinakuwaga za mzaha mzaha sana, mfano dogo janja kumuoa Irene UwoyaWaziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Mh Simbachawene amesema kwa mujibu wa takwimu zilizopo kwa miezi 9 tu iliyopita zaidi ya Ndoa 350 zimevunjika Wilayani Temeke...
okZote zote, hata kitaa tunaona aisee sio za wapi wala wapi .. wakati mwingine wanao dumu ni wale sogeza tukae kuliko ndoa official
Waziri hajafafanuaJe ni aina gani hz za ndoa zinavunjika zaidi
Za kanisani
za bomani
za msikitini au
za mkeka?
Karibu sanaNahamia temeke
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Mh Simbachawene amesema kwa mujibu wa takwimu zilizopo kwa miezi 9...
angefafanua ili tuone kwa undani,ukizingatia tunaenda ktk sensaWaziri hajafafanua