Temeke: Jinsi Tozo inayoitwa SERVICE LEVY inavyokomesha Wafanyabiashara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,306
Reaction score
271,601
Manispaa ya Temeke pamoja na mambo mengine inakusanya ushuru unaoitwa Service Levy kwa Wafanyabiasha karibu wote wenye leseni za biashara, Yaani Pamoja na kulipia leseni mjasiriamali anatakiwa pia kulipia tozo hiyo, Hii ni mbali na kodi ya TRA, USHURU WA TAKA unaofikia hadi elfu 6 kwa mwezi, Pamoja na Tozo ya Ulinzi. Service levy kwa wafanyabiashara wasio na EFD ni kati ya elfu 60 na elfu 80 kwa mwaka.

Haya ndiyo Mapito ya Wafanyabiashara wa Temeke, na huu ndio mrejesho wa Timu yetu ya Uchunguzi ambayo imesambaa Kuanzia Buza hadi Mtoni Mtongani.

Kitu kingine Kipya ambacho kimegunduliwa ni kwamba Tozo ya Service levy kwa Mfanyabiashara mwenye mashine ya EFD ni Tofauti huyu Ndiye anayekomolewa zaidi, Wachunguzi wetu wanadokeza kwamba wenye hizo machine halali za kodi wanatozwa service levy kila baada ya miezi 3, na wanatozwa kiwango kwa kukatwa % kadhaa kutokana na mauzo yao, kwa maana nyingine tozo hii inaweza kuzidi hata kodi ya TRA kwa mwaka.

Hili jambo linapaswa kurekebishwa haraka ili kuweka usawa, Hii ni kwa sababu hakuna mfanyabiashara yeyote anayeweza kulipa kile ambacho hana, Haitawezekana abadan!

Timu yetu imeagizwa kuonana na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo ili atoe Ufafanuzi na achukue hatua kabla mambo hayajaharibika zaidi

Muhimu: Hatupingi watu kulipa kodi, Bali tunachopinga ni kulipishwa kodi kuzidi hata mitaji ya biashara zenyewe.
 
ANdaa kitabu cha mahesabu utakua unaipunguza hio service levy kama cost ila ukiwa kama mfanyabiashara wa presumptive lazima ile kwako...
 
EFD Machine every penny is by calculation, the more you gain the you pay. So wewe ambaye huna machine ndio una shida calculation unafanyiwa na Halmashauri.
 
wenye mashine ya EFD sidhani kama wanahitaji hayo, kila kitu kimo mle
 
EFD Machine every penny is by calculation, the more you gain the you pay. So wewe ambaye huna machine ndio una shida calculation unafanyiwa na Halmashauri.
Halafu maumivu yapo kwenye EFD, na ndio nilikojikita, nielewe tena
 
Hujaelewa nilichoandika maana nimetaka hata Layman apate kitu. Kwenye issue ya Kodi mtu mwenye machine halipi kama wewe ambaye huna hiyo EFD. WEWE ambaye huna EFD unakadiliwa na Halmashauri (fixed tax) ila wa Machine /kampuni anayetumia machine hulipa kulingana mauzo yake. Issue hapa huyu anajikadilia kulingana na mauzo yake kama ni kidogo atalipa kidogo kama kauza sana atalipa zaidi in terms of profit making. Nadhani hapo utanielewa.....
 
Kama efd ina mauzo madogo kuna kima cha chini kimepangwa. Kilikuwa 15,000 kwa mwezi.
 
Hujaelewa nilichoandika maana nimetaka hata Layman apate kitu. Kwenye issue ya Kodi mtu mwenye machine halipi kama wewe ambaye huna hiyo EFD. WEWE ambaye huna EFD unakadiliwa na Halmashauri (fixed tax) ila wa Machine /kampuni anayetumia machine hulipa kulingana mauzo yake. Issue hapa huyu anajikadilia kulingana na mauzo yake kama ni kidogo atalipa kidogo kama kauza sana atalipa zaidi in terms of profit making. Nadhani hapo utanielewa.....
Endelea kuchekesha utapata Tuzo
 
Manispaa ya Temeke pamoja na mambo mengine inakusanya ushuru unaoitwa Service Levy kwa Wafanyabiasha karibu wote wenye leseni za biashara, Yaani Pamoja na kulipia leseni mjasiriamali anatakiwa pia kulipia tozo hiyo, Hii ni mbali na kodi ya TRA, USHURU WA TAKA unaofikia hadi elfu 6 kwa mwezi, Pamoja na Tozo ya Ulinzi. Service levy kwa wafanyabiashara wasio na EFD ni kati ya elfu 60 na elfu 80 kwa mwaka.

Haya ndiyo Mapito ya Wafanyabiashara wa Temeke, na huu ndio mrejesho wa Timu yetu ya Uchunguzi ambayo imesambaa Kuanzia Buza hadi Mtoni Mtongani.

Kitu kingine Kipya ambacho kimegunduliwa ni kwamba Tozo ya Service levy kwa Mfanyabiashara mwenye mashine ya EFD ni Tofauti huyu Ndiye anayekomolewa zaidi, Wachunguzi wetu wanadokeza kwamba wenye hizo machine halali za kodi wanatozwa service levy kila baada ya miezi 3, na wanatozwa kiwango kwa kukatwa % kadhaa kutokana na mauzo yao, kwa maana nyingine tozo hii inaweza kuzidi hata kodi ya TRA kwa mwaka.

Hili jambo linapaswa kurekebishwa haraka ili kuweka usawa, Hii ni kwa sababu hakuna mfanyabiashara yeyote anayeweza kulipa kile ambacho hana, Haitawezekana abadan!

Timu yetu imeagizwa kuonana na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo ili atoe Ufafanuzi na achukue hatua kabla mambo hayajaharibika zaidi

Muhimu: Hatupingi watu kulipa kodi, Bali tunachopinga ni kulipishwa kodi kuzidi hata mitaji ya biashara zenyewe.

Tozo zote za hovyo TAL ataanza nazo akishaapishwa tu!
 
Wanamtandao wanahomola lakini Masikini wanakomeshwa

Ni suala la muda tu:

GyKOivhXQAE3X-h.jpeg

Tunakotaka kwenda kuñajulikana na namna ya kufika inajulikana.
 
Back
Top Bottom