Tembo kavurugwa huyu

aliyevurugwa si tembo mkuu, ni huyo aliyemwingilia mahali pake pa makazi!
 
Hapa anayenishangaza huyu aliyepata ujasiri wa kupiga picha, kama mimi nisingesubiri zamu yangu, yaani hapo ni kona ndefu halafu taarifa baadae.
 
Niliiona video yake, the guy aliyataka. Maana tembo alimuonesha ishara nyingi kuwa hajafurahishwa na uwepo wake jamaa akawa anashangaa. Hadi akatoka nje ya barabara, aliporudi ndo yakatokea haya.
 
Niliiona video yake, the guy aliyataka. Maana tembo alimuonesha ishara nyingi kuwa hajafurahishwa na uwepo wake jamaa akawa anashangaa. Hadi akatoka nje ya barabara, aliporudi ndo yakatokea haya.

Weka link ya video au video yenyewe
 
Mikumi National park hadi raha yaani one day nimepoteza 45 minutes nasubiri avuke alafu ilikuwa alfasjiri hawa wanyasma waogopeni aseiiiii kwenye pori wana viwambo vya kudaka na kutafsiri sana sauti usije thubutu kupiga honi nakwambia wafa huku unajiona utatoka nduki kwenye gari kisha simba hao wannagawana nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…