Tembo 55 wamekufa njaa katika mbuga ya kitaifa ya Hwange, nchini Zimbabwe kutokana na ukame mkali

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,521
9,323
Tembo 55 wamekufa njaa katika mbuga ya kitaifa ya Hwange, nchini Zimbabwe kutokana na ukame mkali uliokithiri kwa zaidi ya miezi miwili.

"Hali ni mbaya," Msemaji wa mbuga hiyo Tinashe Farawo, anasema. "Tembo wanakufa kutokana na ukame na hili ni tatizo kubwa."

Ukame umepunguza kwa kiwango kikubwa viwango vya mimea nchini Zimbabwe.

====================================================

Harare (CNN)A severe drought that has drained water sources in Zimbabwe's largest national park has left 55 elephants dead since September, a spokesman for the country's wildlife agency said on Monday.

Some of the animals died while searching for water at the Hwange National Park. Others were killed by residents after wandering into surrounding communities looking for food, Tinashe Farawo, spokesman for Zimbabwe's Parks and Wild Life Management Authority said.

"The elephants are traveling long distances to look for water and end up invading communities. Some died of thirst in the park, some while in search of water," Farawo said.

Twenty people have killed in human-animal conflict in the country since January, according to the spokesman. Farawo said an elephant mauled a man to death after he tried to chase the animal, which had wandered into his garden to drink water in his backyard in a local settlement last week.

"That's why we are saying allow us to trade in these animals, and we can raise funds for their security and food. But the so-called conservationists condemn us. The park was meant for 15,000 elephants, but we are now talking of over 50,000," he said.

Farawo said the water crisis at the park was at a dire stage, and authorities have had to dig boreholes deeper to provide care for the animals.
 
Kwetu viboko katika hifadhi ya katavi walikuwa wameanza kupasukapasuka ngozi, kwa sababu ya ukosefu / upungufu wa maji, mh Rais Magufuli akatoa agizo kuwa viboko wale wafanyiwe mpango wa kupelekewa maji, na agizo lake likatekelezwa kama alivyoagiza, hatimae viboko wale mh Rais akawa amewaokoa na kifo au vifo visivyo vya lazima.
Magufuli mteule wa Mungu.
 
Back
Top Bottom