Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,422
- 8,364
..,tena tembo mwenyewe bado ndama angekuwa ni tembo aliyekomaa wala wasingehangaika nayeKumbe tembo ana nguvu kiasi hiki cha kuweza kuwashinda simba 14?
Jionee mwenyewe tembo kijana akiwachachafya simba 14 katika mbuga moja ya wanyama huko nchini zambia.
HAPO NI CCM NA UKAWA UKAWA SIMBA CCM TEMBO NA JECHA
Nafkiri niliiona hio pia. Alikuwa ni tembo mdogo. Hata mimi iliniumiza sana.Kuna siku niliangalia clip ya Tembo akipambana na Simba watatu,ila walifanikiwa kumuua.
Wakati wa mapambano yule Tembo alivyokuwa analia niliumia sana.