Tembo 1 awashinda simba 14

Tembo 1 awashinda simba 14

HAPO NI CCM NA UKAWA UKAWA SIMBA CCM TEMBO NA JECHA
 
Kumbe tembo ana nguvu kiasi hiki cha kuweza kuwashinda simba 14?
Jionee mwenyewe tembo kijana akiwachachafya simba 14 katika mbuga moja ya wanyama huko nchini zambia.


..,tena tembo mwenyewe bado ndama angekuwa ni tembo aliyekomaa wala wasingehangaika naye
 
Kuna siku niliangalia clip ya Tembo akipambana na Simba watatu,ila walifanikiwa kumuua.
Wakati wa mapambano yule Tembo alivyokuwa analia niliumia sana.
Nafkiri niliiona hio pia. Alikuwa ni tembo mdogo. Hata mimi iliniumiza sana.
 
Back
Top Bottom