Mara nyingi watanzania wamekuwa wakitengeneza blog na wavuti na kuweka hadithi za jabu ajabu na picha na video za ngono ili kuvutia watemebeleaji.Hiki ni kitu kibaya na hakiendani na maadili. Katika kuonyesha utofauti tafadhali tembelea https://emmamtinangi.wordpress.com/ ili uone vitu tofauti.