mwanamuziki wa kizazi kipya Amani Temba Mh Temba amesema amerudishwa nyuma sana baada ya kuibiwa vifaa vya gari lake aina ya Verros na mikatamba mbalimbali ya kazi na vitu vingine vilivyokuwemo kwenye gari hilo.
Akizungumza na mwandishi wa safu hii, alivitaja alisema baadhi ya vifaa walivyoiba ni Power Windor zote, Camera, Dashboard, Cd, mawani na document zingine za kazi zake ikiwemo mikataba ya kazi.
Alisema gari hilo alililaza maeneo ya nyumbani kwake Mbagara.... soma zaidi
aiseeeeee babayangu hawa wasanii wa bongo hawana akili si wote lakini mikataba wanaweka kwenye magari huu ni ujinga sijawai kuona ndio maana hawaendelei
aiseeeeee babayangu hawa wasanii wa bongo hawana akili si wote lakini mikataba wanaweka kwenye magari huu ni ujinga sijawai kuona ndio maana hawaendelei