Black Jesus JF-Expert Member Joined Mar 7, 2008 Posts 256 Reaction score 10 May 18, 2011 #1 Nape angalia sana ndugu umegeuzwa mshumaha ( candles)unamurikia wengine wewe mwenywe unanyongonyea.
KAKA A TAIFA JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 566 Reaction score 83 May 18, 2011 #2 Nadhani busara na uvimilivu na kufanya yaliyo matarajio ya wananchi,punguza matumizi yasiyo na ti ja,pesa zitumike kwa manufaa ya miradi ya maendeleo ,imarisha miundo mbinu.hata kuongea kwenye vyombo vya habari ingekuwa ndoto
Nadhani busara na uvimilivu na kufanya yaliyo matarajio ya wananchi,punguza matumizi yasiyo na ti ja,pesa zitumike kwa manufaa ya miradi ya maendeleo ,imarisha miundo mbinu.hata kuongea kwenye vyombo vya habari ingekuwa ndoto