Nimekuwa interested na Tvset za Itel, kwa picha zinaonekana ziko bomba na future kali sana.
Shida sijui zinapatikana wapi, kwenye post zao awasemi wanapatikana wapi, maduka yao yako wapi pia awasemi bei za hizo tv
Mwenye kujua maduka yao yako wapi na ubora wa hizo Tv km yaliyomo Yamo
Asanteni.