kukucd JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 307 Reaction score 196 Oct 1, 2017 #1 Zajion wadau, jaman TV yang ya Philips flat nmeiwasha inaonyesha ranging nyeupe tu,nikibonyeza menu haifany kaz,hamna chochote kinachoonekana zaid ya rangi nyeupe,msaada tutan
Zajion wadau, jaman TV yang ya Philips flat nmeiwasha inaonyesha ranging nyeupe tu,nikibonyeza menu haifany kaz,hamna chochote kinachoonekana zaid ya rangi nyeupe,msaada tutan
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,481 Reaction score 11,688 Oct 1, 2017 #2 Wasiliana na watu wasiojulikana watakuwa wameihack