Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,832
- 6,472
Je unafahamu kwamba njia rahisi na ya haraka ya kujifunza jambo ni kwa njia ya sauti?Je unajua kwamba unapotazama kitu kwa macho ili ukielewa kinaenda kwenye mfumo wa sauti?Je unafahamu kwamba mfumo wa sauti una uhusiano mkubwa sana na mfumo wa kumbukumbu na mfumo wa kufikiri?
Kwa mujibu wa tafiti,mafunzo kwa njia ya sauti na picha-audio visual yanaweza kumfanya mtu kuelewa kitu kwa haraka zaidi kuliko mafunzo ya vitendo hasa yanapotolewa kwa njia sahihi.
Kwa sasa yanapatikana mafunzo kwa njia ya SIMU katika Masomo yafuatayo:
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa simu namba 071032306 au email:masokotz@yahoo.com

- Ujasiriamali wa Kidijitali
- Jinsi ya kuanzisha biashara
- Jinsi ya kuandaa CV
- Jinsi ya kujianda kwa ajili ya Interview
- Jinsi ya Kushinda Msongo na Sononi
- Jinsi ya Kufanya Utafiti
- Jinsi ya Kuandika Taarifa mbalimbali
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa simu namba 071032306 au email:masokotz@yahoo.com