5G haitakuja Kuwa mainstream, band zake ni kubwa sana.
5G yenyewe coverage ni Futi 1000 ambazo ni kama Mita 300 (viwanja vitatu vya mpira), ina maana kucover mwenge mpaka mbagala kilomita kama 20 unahitaji minara si Chini ya 60, imagine Dar nzima ama Nchi nzima,