wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,402
- Thread starter
- #21
kuhusu kutokuwa na mfumo wa fingerprint ktk vituo vyetu vya polisi lawama zote n kwa Lugumi na Kitwanga... hawa ndio wamehujumu ule mfumo
Vifaa vipo vya kutosha?
Ngoja litakapo anzishwa jeshi la polisi tz ili la policcm kituicho ni ndoto bado wanatumia mbinu za kupiga Ramlipolisi watumie mbinu za kisasa ktk upelelez wao...
wanawabambikia watu kesi kwa ushahidi wa nadharia!