Teknolojia hizi zimetushinda?

Teknolojia hizi zimetushinda?

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,402
Matumizi ya vipimo vya DNA na fingerprint ni nadra sana kutumiwa na polisi ktk uchunguzi\ushahidi.

Tafakari...
 
Unataka polisi watumie technologia hizo wakati wao wenyewe ni failure? Wanachokiweza ni kuwapiga na kuwakandamiza wananchi wanyonge,shame to you policcm.
 
polisi watumie mbinu za kisasa ktk upelelez wao...

wanawabambikia watu kesi kwa ushahidi wa nadharia!
 
endapo teknolojia hizi zingetumika ktk ushahidi mahakamani, kesi nyingi zingeshughurikiwa mapema kwa muda mfupi..
 
tanzania bado sana kimaendeleo...

nchi inawasomi lkn wanashindwa kutumia usomi wao..
 
Juzi hapa jirani yangu aliibiwa flat TV Samsung inch 50, bahati mbaya wale vibaka wakaivunja kioo wakati wanakimbia mayo na hivyo kuiterekeza vichakani, Mimi nilikuwa wa kwanza kuiona hivyo nikawasihi majirani wasiiguse ili polisi wachukue alama za vidole na hivyo iwe rahisi kuwakamata wahalifu hapo. Mawazo yangu yalikuwa yananiambia hivi: wakati wa zoezi la kuandikisha wapiga kura tulichukuliwa alama za vidole hivyo nikiamini kwenye database ya tume ya uchaguzu wakiweka Alama za vidole kutoka kwenye hiyo TV lazima wahalifu wangepatikana!

Dogo mmoja jirani ndiye aliyenikatisha tamaa pale aliponiuliza kama nikishawahi kuona polisi sehemu yoyote hapa kijijini hatay kwenye mauaji anachukua alama za vudole, pili akaniuliza " mzee Ndebile zile machine za Lugumi ambazo zilipotea katika mazingira ya kutatanisha unazikumbuka?" Dah! Sio siri nikifedheheka sana, Leo huh uzi umeniongezea machungu, ngoja nicheki series zangu za "CSI Miami"
 
Vifaa vipo vya kutosha?

kwaiyo hadi mtu aitwe profesa kunaitaji vifaa au elimu na ufaham?

je hao maprofesa na wenye phd wanamchango gani ktk maendeleo ya taifa? wengi ni vibaraka wa vyama na siasa...
 
police wa wetu technologia kama hizo hataki kuzitumia kwani itawapunguzia miaanya ya rushwa then angaliaa tu hizo tochi walizopewa matumizi yake wanajificha porini sehemu ambayo hakuna kibao cha kulimit speed then unaenda kusimamishiwa mbele unaambiwa ulikua unakimbia speed ya juu nionyeshe basi speed yangu anatoa karatasi anakuambia kwa mfano 75 sasa kwanini wasikae sehemu husika
 
Tatizo nchi imejaa wapigaji hakuna kingine shida zote hizi ni sababu ya watu wachache kutumia madaraka yao kinyume
 
Huku kwetu kituo cha polisi cha kata mahabusu wanatoroka na pingu
 
kwaiyo hadi mtu aitwe profesa kunaitaji vifaa au elimu na ufaham?

je hao maprofesa na wenye phd wanamchango gani ktk maendeleo ya taifa? wengi ni vibaraka wa vyama na siasa...
Kwa hiyo mkuu hiyo DNA wanapimia tunguri ama ramli?
 
tanzania bado sana kimaendeleo...

nchi inawasomi lkn wanashindwa kutumia usomi wao..
hapo ndipo napo shanga kumuona mtuu kasoma na viuo mpaka india ila akili yake ipo pale pale utombo mtupu haina haja ya kusoma kama na walio soma wanashindwa kuwa muhimu katika jamii zetu. bure kabisa elimu tuzipewzo.
 
police wa wetu technologia kama hizo hataki kuzitumia kwani itawapunguzia miaanya ya rushwa then angaliaa tu hizo tochi walizopewa matumizi yake wanajificha porini sehemu ambayo hakuna kibao cha kulimit speed then unaenda kusimamishiwa mbele unaambiwa ulikua unakimbia speed ya juu nionyeshe basi speed yangu anatoa karatasi anakuambia kwa mfano 75 sasa kwanini wasikae sehemu husika
Hii nchi na viongozi wetu hawa ni shidaaa
 
Kwa hiyo mkuu hiyo DNA wanapimia tunguri ama ramli?

inapaswa kila mkoa uwe na maabara ya dna na ofisi ya mkemia mkuu.

inapaswa kila kituo cha polisi cha wilaya kiwe na wataalam wa fingerprint na DNA\ au afisa atakayeshughurikia na kutoa taarifa.

inapaswa polisi watumie mbinu za kisayansi kupambana na uharifu.

inapaswa polisi wawe na taarifa za vidole, anuani, makazi ya watanzania waarifu wote.

inapaswa polisi wafanye uchunguzi wa Fingerprint na DNA kwa vidhiti wanavyokuta ktk uhalifu mkubwa kama mauaji, ujambaz ...
inapaswa polisi kushirikiana na NIDA, TEC, TRA, na taasisi zngne ktk kusort taarifa.
 
Good, hivyo vifaa vipo kote huko? Hata tuwe na maprof ndani ya jeshi la polisi hawawezi fanya hayo kama vifaa hakuna!!!
 
Kwa hiyo mkuu hiyo DNA wanapimia tunguri ama ramli?

mkuu.

pengne uchunguzi unafanywa kinadharia tu.

yapo matukio ya mauaji na ambayo vidhibiti vyenye ncha kali vinachukuliwa pasipo vipmo vya vidole...

yapo matukio ya ujambaz ambayo silaha ukamatwa lakini cdhan kama wana pima alama za vidole...

kama tatizo ni lugumi. mtu mmoja asicheleweshe shughuri za kipolisi na mahakama.
 
mkuu.

pengne uchunguzi unafanywa kinadharia tu.

yapo matukio ya mauaji na ambayo vidhibiti vyenye ncha kali vinachukuliwa pasipo vipmo vya vidole...

yapo matukio ya ujambaz ambayo silaha ukamatwa lakini cdhan kama wana pima alama za vidole...

kama tatizo ni lugumi. mtu mmoja asicheleweshe shughuri za kipolipi na mahakama.
  1. Well said mkuu ila tatizo 'mjenga nchinimwananchi lakini mbomoa nchi ni mwananchi wa darajala juuu'. Ktka hali hiyo Lugumi haguswi. Kumbuka hii: Kuna watu wakiguswa uchumi utayumba!
 
Back
Top Bottom