Wandugu nina swali kuhusu hii offisi.
Nimetembelea website yao lakini sikuweza kupata the following information:
Jee, ni kampuni ngapi wameshazisaidia kutoka idea to a product or into becoming a full business entity?
Kwa waliojiunga nao kupata msaada, jee kuna sheria gani wameziweka ambazo zina mlinda mwenye idea?
Jee ni malipo gani mwenye idea lazima alipe?
Natanguliza shukurani