Tekno W3 for 140

Tekno W3 for 140

nyamima

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
211
Reaction score
73
Used 2week, internal 8gb,ram 1gb charger..earphone unapewa.

1001940043_2_644x461_tecno-w3-white-add-some-photos.jpg
 
Wabongo bhana mkiambiwa ukweli mnakasirika, lazma uchek range ya Bei kwa sasa sababu hizo simu zmeshuka sana na hauwez kuuzia Bei ya dukani
Pia wabongo tunakurupuk pia km wew tecno w3 zipo aina mbili za 4g for 170dukan ndo hiyo! yan w3 lite, ipo na ya kawaid ambayo pia ukiwa na 150 unaipata asa hiyo ya 130 lbda ni copy coz pia zipo nying dukan kwa wanaodeal na ishu za biashar za cm wanaelewa zaid ya hapo sina cha kukuelewesha lbda tu nikuache uendelee kuamin unachokiamini.
 
Nshampa oda mkuu nataka pc 30 kwa 130000
 
Ha ha haaaaa kazi kwake akupelek tu hata ilo duka upate zako.
Haina haja ya kunipeleka nikajua chimbo lake aniletee tu
Atakakotaka tuonane nipo flexible kwa dar!
 
Wabongo bhana mkiambiwa ukweli mnakasirika, lazma uchek range ya Bei kwa sasa sababu hizo simu zmeshuka sana na hauwez kuuzia Bei ya dukani
Kwel naona ajafanya utafiti wa kutosha
 
Back
Top Bottom