Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Apr 12, 2013 #1 Teja kamuuliza Mvuta Bangi. "Eti China ni mbali?" Mvuta Bangi akajibu "Sina uhakika, ila naona sio mbali sana maana kazini kwetu yupo Mchina anakuja na Baiskeli kila siku"
Teja kamuuliza Mvuta Bangi. "Eti China ni mbali?" Mvuta Bangi akajibu "Sina uhakika, ila naona sio mbali sana maana kazini kwetu yupo Mchina anakuja na Baiskeli kila siku"
T Tinambuya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 419 Reaction score 41 Apr 12, 2013 #2 hehehehehehehehe ni jiran na kwe2