johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,537
Tokea jana usiku wa Saa 4:37 tumeanza kupata Maji na hadi sasa hali ni nzuri na inatia moyo
Mungu wa mbinguni awabariki
Mungu wa mbinguni awabariki
Ni haki yenu u are paying for it asikusikie bashiru hapendi kabisaTokea jana usiku wa Saa 4:37 tumeanza kupata Maji na hadi sasa hali ni nzuri na inatia moyo
Mungu wa mbinguni awabariki
Nipo Nyuki nyuma ya Kibo complexUnaongelea tegeta gani?Na kwanini una generalise na sio kuwa specific na mahali unapo ishi wewe maana huku kwengine hamna tofauti yoyote.