Ni Mbunge au diwani??Duh bungeni kwa kura 3,000 ? Sasa kwenye kura 20,000,000 kutakuwa na wabunge wangapi?
Ni Mbunge au diwani??
Pengine uko sahihi, lakini kama "maturity" ndio sifa pekee ya kuingia madarakani na kuwatumikia watu, ninashangazwa na hivi "vizee vinavyokufia madarakani" vikiwa havijui chochote zaidi ya ufisadi.Good but no maturity yet...we can not be fans of everything...let us all remember that age and experience have a greatest contribution in serving the majority well...you can not tell me the 19 years boy can precisely lead as he is just in-from adolscene period
Wabunge kutoka Zanzibar wanaingia Bungeni na kura ngapi?Duh bungeni kwa kura 3,000 ? Sasa kwenye kura 20,000,000 kutakuwa na wabunge wangapi?
Wabunge kutoka Zanzibar wanaingia Bungeni na kura ngapi?
Pengine uko sahihi, lakini kama "maturity" ndio sifa pekee ya kuingia madarakani na kuwatumikia watu, ninashangazwa na hivi "vizee vinavyokufia madarakani" vikiwa havijui chochote zaidi ya ufisadi.
Bado mtoto mdogo, uwezo wake kujadili mambo utakuwa bado mdogo!!
Waacheni wasome jamani, hii ni ajira kwa watoto!