he he heeee! wewe John Elias unajipenda au? ngoja shosti Madame B aje na hivi ana hasira na manoah angalia usijeangukiwa kwa kipigo, kuna jamaa alishaleta pesa yake kalipia kodi hapo shosti hasikii haoni na viwanja na mizunguko yooote ameitosa anaogopa ndoa isije ikaota mbawa, mie simoooo utaambiwa prove it... ha ha haaaa!