Lutifya, hawa ni watoto wa juzi! I can see your english is good! Ni kipimo kimoja wapo kuwa ulisoma enzi zetu!Yawezekana Uko sahihi. Nadhani pia hujui mfumo wa Elimu Tanzania. Sina Elimu ya kuunga unga. Ni mtazamo wako finyu tu. Those good old days ukichaguliwa (Siyo ukifauli maana katika wilaya mnaweza mkafaulu watu 200 lakini wilaya husika inatengewa nafasi say 40), ulikuwa aidha unapelekwa Tech.schools kama Ifunda, Moshi and Mtwara Tech.secondary schools au Unachaguliwa kwenda Rungwe, Njoss, Tosa etc. Ukifaulu toka tech. Schools unachaguliwa kwenda Arusha, Dar es salaam or Mbeya Technical colleges for three yrs. Wakati mchepuo wa pili unachaguliwa kwenda Form five and six for two years. Iliwezekana pia mifumo yote kuingiliana. Technical school leavers to join form five and vice versa kutegemeana na ufaulu wako na jinsi ulivyo jaza kwenye SELL FORM. Then you meet at Usdm for Engineering course.
Namfahamu mno kwani tulikuwa wote bweni 27 wing ya mkwawa na darasa moja. How could I forget him mtu aliyekuwa anakusuport sukari na colget pamoja na sabuni na mafuta ya Vaseline badala ya shanti?Uko sahihi. Baada ya kufukuzwa shule Ifunda alitafutiwa shule Moshi Tech.sec school. Baba yake mzee Mwanambilimbi alikuwa Mkurugenzi wa Kampuni fulani ya Umma by then....
Ulisoma na Marandu ?Duuh RIP Teddy. Nimesoma naye Ifunda Tech. Sec. School Ingawa alifukuzwa then tukakutana naye Arusha Tech. College
Bila kusahau TAMCO kibaha walikuwa na timu yao ya soka moja kati ya wachezaji wao aliitwa said Seif alikuwa na kimzuzu flan hivi kisha muungwana sanaDuh umenikumbusha nyumbu nimekumbuka kibaha
Mkuu jina siyo baya ila tatizo wewe umefananisha na wale wafuasi wanaoitwa nyumbu.Jina Baya umponza mwenye nalo utaitaje kiwanda Nyumbu kwanza ethics za nyumbu kwanza!!....hivyo kiwanda kingekufa mambo ya kujifanya uzalendo na kutukuza mbuga ni upofu.
Pole mkuu halafu ukute siku nyingine unajibu threads zake unamuita "MKUU".This blood bastard ananifuatilia sana! I am tired of this bastard boy!
Luckily huwa situmii neno hilo , umri wangu unaniongoza kuepuka neno hilo!Pole mkuu halafu ukute siku nyingine unajibu threads zake unamuita "MKUU".
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata Ifunda chumbani kwake ilikuwa sherehe mikate ya Siha haikosekani wakati wengine mnapanga foleni ya Nyuka a.k.a uji usio kuwa na sukari. Essentially he was quite a humble guy.....Namfahamu mno kwani tulikuwa wote bweni 27 wing ya mkwawa na darasa moja. How could I forget him mtu aliyekuwa anakusuport sukari na colget pamoja na sabuni na mafuta ya Vaseline badala ya shanti?
Nimesoma Ifunda 1983 to 1986. Marandu who???Ulisoma na Marandu ?
Nimesoma Ifunda 1983 to 1986. Marandu who???
Namkumbuka Maximillian Kapinga tulikuwa bweni moja Mirambo alimaliza 1984Maxmilian
Pia aliwahi kuwa mkuu wa wilaya mzee mwanambilimbiUko sahihi. Baada ya kufukuzwa shule Ifunda alitafutiwa shule Moshi Tech.sec school. Baba yake mzee Mwanambilimbi alikuwa Mkurugenzi wa Kampuni fulani ya Umma by then....
Mwenye taarifa za wapi msiba ulipo au mazishi yatafanyika lini atujuze tukatoe heshima za mwisho.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata Ifunda chumbani kwake ilikuwa sherehe mikate ya Siha haikosekani wakati wengine mnapanga foleni ya Nyuka a.k.a uji usio kuwa na sukari. Essentially he was quite a humble guy.....
Age mate kabisa wewe ingawa sikusoma Ifunda.Nimesoma Ifunda 1983 to 1986. Marandu who???
Akikujibu nistueAlikuwa anajihusisha na sanaa gani? Hapa watoto wengi
Duh Jamaa unadharau wewe, ngoja uwe na mgogoro wa ndoa na mke wako ndiyo utajua uwezo waoSasa Mkuu wewe Ni graduate wa UD 1985 lakini ujenzi wako wa hoja Ni Kama wa graduate wa pale Ustawi wa Jamii Sinza
Msiba uko Goba kwa mzee Mwanambilimbi. Wanazika JumanneMwenye taarifa za wapi msiba ulipo au mazishi yatafanyika lini atujuze tukatoe heshima za mwisho.
Anzisha Uzi utupe hiki Kisa mkuu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tulijaribu kuunda nikiwa Engineer Nyumbu....siasa ikaingilia....
Nitahudhuria kwa namna yoyote.Msiba uko Goba kwa mzee Mwanambilimbi. Wanazika Jumanne