tecno yenye android

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
wadau na mie nimeishuhudia tecno yenye os ya android....swali langu je itakuwa na ubora gani???? na inapga mzgo kweli kama android nyingine???
nawasilisha
.
 
ila hawa tecno simu zao wanauza ghali utadhani sio mchina. eti touch screen laki 2 , sasa mchina gani huyo . ijapokuwa ni mchina bora lakini mchina ni mchina tu
 
ila hawa tecno simu zao wanauza ghali utadhani sio mchina. eti touch screen laki 2 , sasa mchina gani huyo . ijapokuwa ni mchina bora lakini mchina ni mchina tu

Kwasababu zinatengenezwa China? Mbona hata Nokia nyingi zatengenezwa huko
 
ila hawa tecno simu zao wanauza ghali utadhani sio mchina. eti touch screen laki 2 , sasa mchina gani huyo . ijapokuwa ni mchina bora lakini mchina ni mchina tu

hapo kwa hyo bei kama unataka anroids bora upate galaxy poket, mini au galaxy Y
 
TECNO TI
(1);Dual SIM.
(2);Dual camera,back camera 3 megapixel
(3);Battery 1400mA.
(4);Display 3.5 inches.

SAMSUNG GALAXY POCKET
(1)Single SIM.
(2)Single Camera,2megapixels.
(3)Battery 1200mA.
(4)Display 2.8 inches.
Haya chacha chagua unayotaka wewe sasa,hatutakiwi kukariri kwamba siku zote mchina ni kimeo,mchina na mkorea hawana tofauti kubwa,wote macho madogo.Wakorea wa SAMSUNG wenyewe ndo wazee wa ku-copy na ku-paste kila siku.Superiority ya SAMSUNG GALAXY POCKET kwa TECNO T1 ni 3GB internal memory bhaaaaaaas!
 
hapo ungepambanisha na galaxy min at least
 
wadau na mie nimeishuhudia tecno yenye os ya android....swali langu je itakuwa na ubora gani???? na inapga mzgo kweli kama android nyingine???
nawasilisha
.

Itachagizwa na os uliyoizoea, kama unamazoea ya kutumia version 2.2 Ya mytouch, ukiletwa S3 ya version 4 utaona tofauti na hutoitamani ile 2.1 so kila kitu kinategemeana na mazoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…