Tecno yangu 305 nikiingia jamii forums naambiwa javascript is disabled nini tatizo?

Tecno yangu 305 nikiingia jamii forums naambiwa javascript is disabled nini tatizo?

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,819
Yaani tangu wa apdate tuu hii web aplication basi mimi na JF sio marafiki tena nilikuwa natumia smartphone nikaiuza sasa huwa natumia ka tekno ila tangu wa apdate tuu hii web nimekuwa nikiingia jf naambiwa javascript disabled [emoji36]
NB.Jamii forums toweni hiyo javascript watu watumie JF na vitecno vyao laasivyo mnazidi kupoteza watumiaji wa mtandao wenu.
 
Mkuu Pyongyang1 hapa situmii smartphone kwani nimeandika kwa kutumia tecno kitochi T660.
Ishu ya javascript huwa inaonekana kama ukitaka kutumia freebasics bila kuwa na data.
Nilijaribu kulog in jf kwenye smartphone kwa freebasics ikaleta pia ujumbe huo.
Nina amini tatizo sio JF.
 
Enable Javascript katika simu unayotumia.

Ukidisable javascript inamaanisha kuna baadhi ya maudhui utashindwa kuyaangalia kwenye simu yako.

Kama hujui jinsi ya kuenable javascript jaribu kuingia JF kwa kupitia browser yako.
 
Hata mimi nilikua na tatizo hilo, nilikua na tumia freebasic iliyoko kwenye operamini ndio ikawa inanipa ujumbe kama wako. Soln, nikaamua kudownload iyo freebasic kama app ya kuipata jamii forum na sio operamini ilikuipata freebasic na baadae jamii forum.
 
Back
Top Bottom