Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Imeuzwa
60Sipati mkuu.
Imetumika chini ya miezi miwili na dukani mpya ni zaidi150,000 inayotumia line zote. Zile za promotion bei ni chini ya hapo kidogoMalcom hiyo cm imetumika kwa mda gani na je ikiwa mpya yauzwa bei gani
Nataka kufanya comperison
ongeza kidogo mkuuFanya 90 mkuu serious!