Basi tecno yako ndio changamoto ngoja wataalamu wajeHapana mdada eneo nililopo mtandao upo vizuri sana na hata laini hii nikiweka kwenye simu nyingine inasoma 3g Kama kawa.
Smart guy
HahahhaKwa tecno ni kawaida hayo,vumilia
Kuna matatizo yakikuta kwenye tecno hayakushangazi😂😂😂kama yangu hapa inajiwasha torch yenyewe,inafungua maaplication na kufungua kwahyo sishangai hata nishaizoea...Hahahha
Ochu ujue unanifurahisha sana
Hahahaha nilichogundua hili ni jukwaa lako pendwaKuna matatizo yakikuta kwenye tecno hayakushangazi[emoji23][emoji23][emoji23]kama yangu hapa inajiwasha torch yenyewe,inafungua maaplication na kufungua kwahyo sishangai hata nishaizoea...
...Unajua iPhone user huwa wanajibu vipi ukisema iPhone haina jipya? Wanakujibu "Kwani wewe ulivyonunua ulitegemea ukute kipi"😂😂😂😂.....Hahahaha nilichogundua hili ni jukwaa lako pendwa
Halafu thread zinazohusu tecno lazima nikukute unavyowavunja moyo watumiaji wa tekno