Nahitaji Tecno Winpad 2 ambayo ina 4G na WIFI pamoja na adapter converter (HDMI to VGA au USB to VGA) kwa ajili ya kutumia na LCD Projector. Au Tablet nyingine yenye sifa kama hizo. Winpad ina dual OS (android na windows 10), USB (3.0 na 2.0), dual sim na external SD card.
Wasiliana nami kwa whatsapp 0754-653217.
Wasiliana nami kwa whatsapp 0754-653217.