Tecno imetangaza kuwa Chris Evans (captain america) ndie Global ambassador wao ambapo May 6th Ata launch Online event ya Tecno Camon 17 ikiwa hiyo ni moja ya stage ya kupanua soko laoView attachment 1771701
Sio hacker bali nimekua mteja wao kwa muda mrefu mpaka mpaka akili ilipofungukaWe jamaa ni hacker?
Maana kila siku unaponda hizo simu, zinashida gani hizo simu?
Subir siku uone ameandika tweet ya kuisifia tecno ,wananchi wenye hasira kali zidi ya Tecno
Nilishawahi kuitumia sitakaa nirudie tenawananchi wenye hasira kali zidi ya Tecno
Ila chris Evans kajidhalilisha,ni sawa na kaenda CCM tu mavimavi
Subir siku uone ameandika tweet ya kuisifia tecno ,
Ila signature "twitter for Iphone"
Kama unataka isiyo stuck basi tumia Tecno Phantom series.Nilishawahi kuitumia sitakaa nirudie tena
Kwanza ina stuck kila saa
Mara kila system lazima ikuandikie is not responding
Haki ya nani ilinitesa