Tecno wame partner na Actor Chris Evans wengi wanamjua kama Captain America kutoka Marvel Cinematic Universe

Chris Evans anajulikana dunia nzima kama mtu aliyecheza character maarufu zaidi duniani yaani "Captain America" considering amefanya kazi na huge company maarufu kama marvel ambayo imetoa movie maarufu dunia nzima "Avengers endgame" iliyovunja box office record kwa kupiga USD billion 2.7 ni kama 7 trillion za kitanzania.
Hapo Tecno wameokota dodo chini ya mwembe.

Subiri wale waswahili wa mbagala na buza.
Waje kuiponda company ya Tecno kwa maneno yao ya kukariri na fuata mkumbo. wakati ile ni company kubwa inayokuwa na kuboresha bidhaa zao na business strategies kila siku ili ikimbizane na soko la dunia na sio genge la nyanya huko uswahilini.

Hawa waswahili wanadhani Tecno ni genge fulani la wahuni wanao iba simu na kuja kuuza africa au diamond na harmonize hivyo wanarusha maneno ya kishabiki ya kike kudhani wapo level moja.
 
Tecno bado bado, shida siyo kuwa mchina shida ni ubora. Hata Huawei ni mchina lakini simu za Huawei zilikuwa top notch. Xiomi mchina lakini flagship zake ni top notch.
Sasa tecno sasa...
Ila taratibu baada ya kukamata soko Africa na baadhi ya nchi za Asia, nadhani sasa watabadilika kukamata soko la western.
 
Tecno imetangaza kuwa Chris Evans (captain america) ndie Global ambassador wao ambapo May 6th Ata launch Online event ya Tecno Camon 17 ikiwa hiyo ni moja ya stage ya kupanua soko lao View attachment 1771701

Jamaa wanajua biashara na mbinu zake. Kuna makampuni ambao bado hawataki kumkubali Tecno kama mshindani wao ila wanashindana naye kwa shingo upande bila kukubali ukweli. Adui ni Adui tu hata ukijifanya humuoni.
 
Hata wakipatner na Joe Biden.
Haibadilishi ukweli ...

Waboreshe tu simu zao
Screenshot_2021-05-03-07-09-20-93.jpg
 
Ila chris Evans kajidhalilisha,ni sawa na kaenda CCM tu mavimavi
 
Ila chris Evans kajidhalilisha,ni sawa na kaenda CCM tu mavimavi

Yeye ni Actor usisahau ni kazi yake pale analipwa na pia anasaidia kampuni kukuwa sometimes ni bora kuangalia maslahi ya wengine tofauti na kujikomalia ww mwenyewe na kuwa selfish jerk
 
Nilishawahi kuitumia sitakaa nirudie tena

Kwanza ina stuck kila saa

Mara kila system lazima ikuandikie is not responding

Haki ya nani ilinitesa
Kama unataka isiyo stuck basi tumia Tecno Phantom series.
Kila kizuri kina gharama.

Au kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom