King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Inawezekana , nenda settings, wireless & networks, more , tathering and portable hotspots, chagua USB tethering! Hakikisha cable ni ya simu husika!
thax kiongozi, kwa hivyo haihitaji software yoyote kama enzi zile za PC suit, ukishaunga tu shwari?
Hakikisha kwanza ume-enable usb debugging kwenye development settings na haitahitaji software yoyote kwenye pc itakuwa kama unaconnect ethernet cable.
mkuu fafanua vzr hapo "" USB debugging" ndo nini mkuu
jibu umepewa toka 16:08 ukareply na dk 18, na dk 53 unataka jibu jengine lile la kwanza imekuaje?
Chief Mkwawa heshima yako mkuu, jibu moja huweza zaa swali jingine kwa mtu mwenye nia ya kujifunza, nimeuliza hivyo kwa sababu kitu alichokieleza huyu hakikuelezwa mwanzoni, na kupitia huyu mwenye maelezo ya pili tayari nimejifunza kitu...au nimekukera mkuu nilipouliza kitu nisichokifahamu ambacho kwako ni kidogo sana kutokana na uelewa wako wa mambo haya? kwako ni makosa mtoto kukuuliza baba 1+1 ni ngapi ilihali wewe ulitegemea kuulizwa swali kubwa zaidi la √16?
sio kwamba nimekereka kaka ila ni uungwana ungempa feedback yule jamaa wa kwanza halafu ukauendeleza mjadala
...development settings
na hiyo developmental settings ni kitu ganimkuu fafanua vzr hapo "" USB debugging" ndo nini mkuu
na hiyo developmental settings ni kitu gani