TECNO SPARK 2 NA NOKIA 2.1

SECRET AGENT

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
252
488
Wana JF katika kutafuta simu nmekutana na simu mtandaoni kabla ya kwenda dukani kununua nmekutana na hizi mbili, Tecno Spark 2 na Nokia 2.1. Kwa ambao wamewahi kutumia simu hizi hapo au hata kujua ubora na udhaifu wake wanaweza kunijuza ipi ipo vizuri zaidi na ipi nikinunua itanifaa japo kwa upande wa bei hazina utofauti sana maana zote nimeangalia katika tovuti ya Jumia zipo Tshs 240,000
IMG_20190516_060632_703.JPG
IMG_20190516_060602_926.JPG
 
Wana JF katika kutafuta simu nmekutana na simu mtandaoni kabla ya kwenda dukani kununua nmekutana na hizi mbili, Tecno Spark 2 na Nokia 2.1. Kwa ambao wamewahi kutumia simu hizi hapo au hata kujua ubora na udhaifu wake wanaweza kunijuza ipi ipo vizuri zaidi na ipi nikinunua itanifaa japo kwa upande wa bei hazina utofauti sana maana zote nimeangalia katika tovuti ya Jumia zipo Tshs 240,000View attachment 1098933View attachment 1098934
Spark 2 ina RAM: 2GB au 1GB na internal 16GB
Nokia 2.1 ina RAM ya 1GB Na internal ya 8GB
Zote zinakuja na Android nyepesi ya GO EDITION.

Ushauri wangu, kama hiyo Spark 2 ni version ya 2GB RAM, basi chukua hiyo Spark 2 , achana na nokia.

Kama hiyo Spark 2 ina 1 GB RAM , basi chukua Nokia 2.1.

Kwa performance na camera na storage nokia 2.1 haipo vizuri sana.
 
Mkuu naomba unitoe ushamba kidg siko poa hata kidg kwenye ulimwengu was smartphone Mimi hua natumia tu hivi infinix iko kwenye kundi gani Na je utofauti wa haya makundi uko vipi?
 
Makundi kivip mkuu? By the way we jua tu usje nunua tecno ya aina yoyote basi.
Mkuu naomba unitoe ushamba kidg naomba unisaidie jeh? Utaofauti wahaya makundi uko vipi mkuu infinix nikundi lipi xiaom ni lipi Na mengineyo
 
mkuu naomba unipe utofauti wa tecno Na infinix maana Mara nyingi hua naangalia tu camera bhasi kunawimbi la infinix namimi nikalifuata ila naomba unipe maelezo kidg yautofauti wake
Makundi kivip mkuu? By the way we jua tu usje nunua tecno ya aina yoyote basi.
 
Wana JF katika kutafuta simu nmekutana na simu mtandaoni kabla ya kwenda dukani kununua nmekutana na hizi mbili, Tecno Spark 2 na Nokia 2.1. Kwa ambao wamewahi kutumia simu hizi hapo au hata kujua ubora na udhaifu wake wanaweza kunijuza ipi ipo vizuri zaidi na ipi nikinunua itanifaa japo kwa upande wa bei hazina utofauti sana maana zote nimeangalia katika tovuti ya Jumia zipo Tshs 240,000View attachment 1098933View attachment 1098934
Ongeza laki ukachukue HUAWEI
HAKUNA simu.hapo

zote Ni koppooo
 
Hao wote ni ndugu tu...sema kuna baadhi ya infinix kidgo zipo vzur...ingekua vzur ungesema infinix ipi na tecno ipi
mkuu naomba unipe utofauti wa tecno Na infinix maana Mara nyingi hua naangalia tu camera bhasi kunawimbi la infinix namimi nikalifuata ila naomba unipe maelezo kidg yautofauti wake
 
Hao wote ni ndugu tu...sema kuna baadhi ya infinix kidgo zipo vzur...ingekua vzur ungesema infinix ipi na tecno ipi
Mkuu Mimi Nina infinix hot5 sasa sijui hata inakitu gani kizuri zaidi ya ka camera flani hivi kamagumashi bhasi
 
Back
Top Bottom