Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,223
-motorola simu zao karibia zote mpya ni value for money, ila still ni ngumu kuzipata huku kwetu, zinatokea mara chache na zinaisha upesi. hapa namaanisha moto E, moto G na moto X generation hii mpya.Mkuu ww ni mtaalam wa IT, hivi hizi smartphone tununue Kampuni gani tuone Value for Money mkuu?
Msaada plz
Ahsante sana mkuu. Naona hawa wachina walitaka kunichezea akili.-motorola simu zao karibia zote mpya ni value for money, ila still ni ngumu kuzipata huku kwetu, zinatokea mara chache na zinaisha upesi. hapa namaanisha moto E, moto G na moto X generation hii mpya.
-Xiaomi. hawa jamaa japo ni wachina ila quality control yao ni kubwa na wanapenda kutumia vifaa premium kwenye simu zao. simu kama redmi note 3 na redmi 3 ni nzuri mpaka unaweza usiamini kwa bei zinazouziwa.
pia kuna kampuni kama huawei na lg wao wana baadhi ya simu zinakuwa nzuri sana mfano honor series za huawei na baadhi ya simu za lg kama lg g2.
pia siku zote flagship iliopita ya samsung inakuwa simu nzuri kwa value of money. sasa hivi s5 inauzwa kwa bei nzuri sana na ikitoka s7 then s6 nayo itauzwa bei nzuri.
Tecno members mpo katika raiti traki, tembeeni vifua mbele
natumia phantom 5 nipe utaalamuKwa wale waliokuwa wanaibeza tecno kwamba ukinunua umenunua uwezi pata Uptodates hii ni habari mbaya kwenu maana mmepunguza point moja ya kubeza.
Tecno C8 tangu niinunue imepata OTA uptodate mara mbili, huku ikija na fix bugs kadhaa, uptodate ya mwisho nimeipata leo.
Ambapo uptodate ya leo imeongeza option ya prefered network option na mnara ulikuwa kwenye rollipop ukisoma 3G muda wote ambapo ilisemekana ni katika ku optimize matumizi ya bettery lkn sasa unaweza chagua na ukaona H, H+
Ilkuja na version 5.0 lkn sasa ime upgrade to 5.2
Hope tutafika. Nasikia Phantom 5 pia ni balaa.
Nakubali kabisa chief flagship za samsung ziko vizuri mno kama s7 s6 note 4 note5 s6 edge plus na bei kwa sasa ziko vizuri naona ni bora hizo kuliko budget ya price hiyo hiyo atakama ni ya 2019-motorola simu zao karibia zote mpya ni value for money, ila still ni ngumu kuzipata huku kwetu, zinatokea mara chache na zinaisha upesi. hapa namaanisha moto E, moto G na moto X generation hii mpya.
-Xiaomi. hawa jamaa japo ni wachina ila quality control yao ni kubwa na wanapenda kutumia vifaa premium kwenye simu zao. simu kama redmi note 3 na redmi 3 ni nzuri mpaka unaweza usiamini kwa bei zinazouziwa.
pia kuna kampuni kama huawei na lg wao wana baadhi ya simu zinakuwa nzuri sana mfano honor series za huawei na baadhi ya simu za lg kama lg g2.
pia siku zote flagship iliopita ya samsung inakuwa simu nzuri kwa value of money. sasa hivi s5 inauzwa kwa bei nzuri sana na ikitoka s7 then s6 nayo itauzwa bei nzuri.
Ila saizi naanza kuungana Chief-Mkwawa haya ma tecno ni kalaa, yan hili li C8 bomu kabisa, nikienda kwenye contacts, inanambia no contacts, unakaa hadi dakika ndio ina view contacts, hivyo ivyo kwa call logs, yan unaweza kuwa unataka kumpigia mtu simu ya haraka, au umeona missed call nataka kuijibu aisee unaweza bonda lisimu chini.
Yan hata mtu akipiga inaweza leta namba bila jina mpk kumbukumbu ziirudie utakuwa ushapokea nakumuuliza mtu naongea na nani. Aisee ni tabu laki 3 imeungua.
Hii ni tecno ya mwisho, sasa basi tena. Ctaki
Mkuu Apo update hamna sim ambazo kweli zipo serious ku update ni sony, Samsung ,htc na iPhone Nokia sio izo tecno japo ninatumia tecno OvaKwa wale waliokuwa wanaibeza tecno kwamba ukinunua umenunua uwezi pata Uptodates hii ni habari mbaya kwenu maana mmepunguza point moja ya kubeza.
Tecno C8 tangu niinunue imepata OTA uptodate mara mbili, huku ikija na fix bugs kadhaa, uptodate ya mwisho nimeipata leo.
Ambapo uptodate ya leo imeongeza option ya prefered network option na mnara ulikuwa kwenye rollipop ukisoma 3G muda wote ambapo ilisemekana ni katika ku optimize matumizi ya bettery lkn sasa unaweza chagua na ukaona H, H+
Ilkuja na version 5.0 lkn sasa ime upgrade to 5.2
Hope tutafika. Nasikia Phantom 5 pia ni balaa.
Mkuu hii post ya siku mingi sana, saiz hata hizo tecno sijui kama zipo dunia hii, natumia brand tofauti kabisa. Nasitarud tecno kamweMkuu Apo update hamna sim ambazo kweli zipo serious ku update ni sony, Samsung ,htc na iPhone Nokia sio izo tecno japo ninatumia tecno Ova
hahaha tunatumia tu ili tusipitwe na dunia mkuu Ila tecno hamna sim apaMkuu hii post ya siku mingi sana, saiz hata hizo tecno sijui kama zipo dunia hii, natumia brand tofauti kabisa. Nasitarud tecno kamwe
Dumelang