Tecno sasa inapokea Updates

Ha ha ha jamaa anataka marshmallows yenye 4g....

Tatizo la elimu yetu ilipaswa ICT liwe somo kuanzia level flan za msingi
 
Hiyo ya kupass viwango vya matumizi ya binadamu sikuwa nimeifikiria ila kwa maelezo yako nahisi ni kweli hazijapata ithibati maana ukienda China kwenyewe kwenye jiji kama Shanghai, hakuna sehemu wanauza TECNO. Hata kwenye "Machinga complexes" za kwao kama pale kwenye soko la Shanghai Science and Technology Museum hutakuta TECNO inauzwa. Hii ni hatari kama tunatumia (na mimi ndio natumia), simu sizizo kidhi matumizi ya binadamu.
 
Ha ha ha jamaa anataka marshmallows yenye 4g....

Tatizo la elimu yetu ilipaswa ICT liwe somo kuanzia level flan za msingi
Sio ivo kuuliza sio ujinga kama ilikuwa 3g auto ika update ikawa only nikajua 4g itakuwepo
 
Sio ivo kuuliza sio ujinga kama ilikuwa 3g auto ika update ikawa only nikajua 4g itakuwepo
Ndio maana nikataka mkuu tuwe tuna brashiwa mapema shule ili tujue hardware na software/application.
 
Ndio maana nikataka mkuu tuwe tuna brashiwa mapema shule ili tujue hardware na software/application.
wanafundishwa sasa hivi mashuleni kuna somo linaitwa TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano)
 
Kiukweli pamoja na hiyo update bado tecno ana kazi ndefu na ngumu sana

hata msiwe mnasema mnaenda kulingana na iphone mseme hata kuwa njia moja na huawei tu

lakin bado naona tecno wanajitahidi sana ukilinganisha umri walionao kweny soko na namna wanajitutumua kweny kutengeneza simu.
 
Wakuu february ndio ileeeee inaelekea jioni, any newz kuhusu update ya tecno C8.
 
Yah hizo Ni update za kawaida za skin ya tecno (sijui initwaje) na si update za os yaani android.

Though sio mbaya ILA bado sana
Mkuu ww ni mtaalam wa IT, hivi hizi smartphone tununue Kampuni gani tuone Value for Money mkuu?
Msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…