Tecno sasa inapokea Updates

Ha ha ha Amesema sio mbaya ila bado. Chief-Mkwawa nakuhtaji unipe mtazamo wako wa Phantom 5
Nilishausema kwenye thread yake, processor yake Ni ndogo sana kwa bei yake ya 700,000 hadi 800,000. Zipo simu nzuri sasa hivi ambazo zina bei karibia na hio, simu kama LG g4 zimeshafika price tag ya $350 hadi $400
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Amesema sio mbaya ila bado.
Chief-Mkwawa nakuhtaji unipe mtazamo wako wa Phantom 5
Mwanajukwaa huyu yupo vizuri sana kwenye hizi mambo, sio kwamba watumia tecno hatupendi vitu vizuri bali tunajikuna pale mkono unapifika.
Na ukiingalia vzr hii C8 huwezi ona jina la tecno kirahisi sijajua kwanini wamefanya hivi.
 
Last edited by a moderator:
Mwanajukwaa huyu yupo vizuri sana kwenye hizi mambo, sio kwamba watumia tecno hatupendi vitu vizuri bali tunajikuna pale mkono unapifika.
Na ukiingalia vzr hii C8 huwezi ona jina la tecno kirahisi sijajua kwanini wamefanya hivi.

Ha ha ha tecno wajanja wamejua kuna watu kwaajili ya critics kama hizi za kina chief wanaogopa kutumia tecno, tecno wakaona isiwe tabu sie pesa tu. Wakaficha jina mbali sana, saizi unashikilia c8 yako mtu anakuuliza aina gani iyo.

Tofauti na h6 dah saresare kama nguo za ktm.
 

Umenifanya nimecheka mkuu... Yan mm nimeshajiuliza why jina walififishe kiasi hiki.
 
Ni kweli Chief watu wa android wanasubur 6 ambayo ni marshmallow, kwa saiv bado tuko na 5.1.1🍭 then 6
 
Sifa za kijinga, wenda hata iyo iphone 6 unaiona kwenye picha tu.

Kwan unapata nn kwenye iphone 6 ambacho mimi mwenye tecno sipati? Sifa za kijinga.

Mkuu umewahi kutumia hiyo iphone 6 ukajua hakuna tofauti na tecno!?
 
kila mbuzi anapaswa ale kadr ya ulef wa kamba yake jaman we mwnye iphon na we mwnye htc one m9 na mwnye phanthomZ hata katoch nyote mna malengo kwann mlinunua hzo cm uez nunua ios 6+ kwa u$700 mpka 800 kma capital yako ni dola 300 never lazma uwe na pesa jah na huyu mwnye tecno m3 ya tsh 120 ndo uezo wake mbn mi natumia ka itel 2090 na tuko wote JF lakin najua cm Gsmarena Hazkauki bt pesa hakna so 2lzana wakuu wenye kapesa ka ugoro na nyie kapesa ka sigara achen ktusimanga.......!
 
Yah hizo Ni update za kawaida za skin ya tecno (sijui initwaje) na si update za os yaani android.

Though sio mbaya ILA bado sana

Official tecno c8 kupata update ya mashmalow au Android 6.0 February mwakani,
Sijui mtasemaje maana hii inatumia chip za mediatek na mlikua mnasema mediatek hazipati update!
 
Tecno itabaki kuwa simu ya ninayoichukia ngoja tuwsachie wanafunzi tu cwez tumia hata iphone 6 yangu izime hapa saa hii ntarudi kitocho hadi ninunie apple

Tushajua kwamba una Iphone 6.
 
Japo mi situmii wala siwez kutumia Tecno kama ambavyo siwez kutumia Huawei na Samsing au Sony pia ila sioni tofauti kwa matumizi ya kawaida. Mi natumia blackberry. Na sio kubwa natumia Curve na 9800 ila pia kwa sababu ya kupata picha nzur na fashion pia ya simu za wide screen na touch nimeamua kutumia Nokia pia. So ishu ya simu inategemea sana uhitaji wa mtu. Sioni haja ya kuponda simu wanazotumia wenzako. Chief anaponda tecno ukimuuliza anakwambia prossesor ndogo magem yanakuwa mazito hajui kuwa kuna watu kama mm ambao sichez game kabisaaaa so hichi kigezo hakinihusu kabisa.
 
Official tecno c8 kupata update ya mashmalow au Android 6.0 February mwakani,
Sijui mtasemaje maana hii inatumia chip za mediatek na mlikua mnasema mediatek hazipati update!

sababu za kutonunua tecno ni nyingi hiyo ya mediatek ni moja kati ya sababu zaidi ya 10.

nionyeshe sehemu yoyote duniani kuwa TECNO imepass test za radiation (SAR) na kwamba inafaa kwa matumizi ya binadamu
 

Alisema simu za chil za mediatek hazipokei update yaani tecno zote ss tecno c8 mwakani inapata mashmalow
 

kila mtu ana haki na anapaswa kuwa na elimu ya kitu anachofanya. mimi natengeneza awareness tu hapa uamuzi wa kununua ni wako na utaendelea kuwa wako milele.

wangapi wamenunua tecno C5 japo tumewaonya haitakubali 4g na still wakanunua na still wakafungua thread sa msaada kwaninia simu zao hazikubali 4g?

chip kwenye simu ni muhimu sana tena sana haishii kwenye processor na gpu tu kuna mambo kama.

1. modem- hapa utapata mambo kama 3g na 4g na speed na hata ukipiga simu kama zinakata kata sometime soc kimeo huweza sababisha

2. camera mechanism na alogarithm zinaendeshwa na soc hivyo unaweza kuwa na camera yenye hardware nzuri ila soc ikawa kimeo mwisho wa siku ukapata experience mbaya mf lumia 1020.

3. malware- angalia simu za mediatek zinavyoathirika sana na malware, sisemi snapdragon haziathiriki ila soc mpya za sd zote zinafight malware kuanzia hardware level ndo mana thread za tecno haziishi humu.

4. lag za simu- ndio huchezi games ila una user interface, ios zipo smooth sababu siku zote iphone zina gpu kubwa. smu ikiwa na gpu kimeo hata launcher kuihandle ni matatizo.

4. ukaaji wa chaji- mediatek siku zote inakunywa chaji sana na zipo pia soc za sd zinakunywa chaji sana ila zipo soc za sd ni energy efficient kama sd 800/801 unakuta simu zina vibattery vidogo kama 2600mah then zinazishinda simu za mediatek zenye 4000mah.

kuna mambo mengi sana ila huwezi kuyaandika kwenye comment kama hivi nikipata time nitaanzisha thread kabisa
 
Alisema simu za chil za mediatek hazipokei update yaani tecno zote ss tecno c8 mwakani inapata mashmalow

1. ngoja ipate kwanza mimi siwezi comment lolote kuhusu hilo sababu hata source hujaweka

2. kama ni kweli inapata, hio ni weakness moja tu imetatuliwa kuna nyengine nyingi still haitabadilisha maanuzi yangu na kile ninachoamini
 
Ila saizi naanza kuungana Chief-Mkwawa haya ma tecno ni kalaa, yan hili li C8 bomu kabisa, nikienda kwenye contacts, inanambia no contacts, unakaa hadi dakika ndio ina view contacts, hivyo ivyo kwa call logs, yan unaweza kuwa unataka kumpigia mtu simu ya haraka, au umeona missed call nataka kuijibu aisee unaweza bonda lisimu chini.

Yan hata mtu akipiga inaweza leta namba bila jina mpk kumbukumbu ziirudie utakuwa ushapokea nakumuuliza mtu naongea na nani. Aisee ni tabu laki 3 imeungua.

Hii ni tecno ya mwisho, sasa basi tena. Ctaki
 
Last edited by a moderator:

Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…