Kwa wale waliokuwa wanaibeza tecno kwamba ukinunua umenunua uwezi pata Uptodates hii ni habari mbaya kwenu maana mmepunguza point moja ya kubeza.
Tecno C8 tangu niinunue imepata OTA uptodate mara mbili, huku ikija na fix bugs kadhaa, uptodate ya mwisho nimeipata leo.
Ambapo uptodate ya leo imeongeza option ya prefered network option na mnara ulikuwa kwenye rollipop ukisoma 3G muda wote ambapo ilisemekana ni katika ku optimize matumizi ya bettery lkn sasa unaweza chagua na ukaona H, H+
Ilkuja na version 5.0 lkn sasa ime upgrade to 5.2
Hope tutafika. Nasikia Phantom 5 pia ni balaa.

Sifa za kijinga, wenda hata iyo iphone 6 unaiona kwenye picha tu.Tecno itabaki kuwa simu ya ninayoichukia ngoja tuwsachie wanafunzi tu cwez tumia hata iphone 6 yangu izime hapa saa hii ntarudi kitocho hadi ninunie apple
Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.
Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?
Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka
Na kufix hizo bugs imefix nini?
Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?
3g Ni generation na ndani yake kuna ( wcdma, hspa, hspa plus ), hivyo h na h+ Ni technology ambazo zipo ndani ya 3g hivyo hio update lengo lake Ni kurename tu Hilo neno 3g kuja h na h ILA kitu Ni kile kileMimi pia tecno C8 yangu kwa mara ya pili leo nimepata update. Ambayo imekuja na badiliko la H tofauti na mwanzo ilikuwa na 3G tu.
Version ni 5.0.2 sio 5.2.
Mtoa mada amemaanisha 5.0.2
Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.
Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?
Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka
Na kufix hizo bugs imefix nini?
Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?
View attachment 304265 uptodate ya awali na bugs walizo fix
View attachment 304266 ya pili na bugs walizo fix
View attachment 304267
Ili pop up automatic kuwa kuna uptodates
Chief-Mkwawa katika ubora wake.