Huku sio mahali pa kuuliza hilo swali anyway ikikuambia msg saved in draft inamaana ile msg haijotumwa iko kwenye sms writting field ya huyu mtu uliekuwa unataka kumtumia so ukifungua sehem msg alafu fungua convetsation ya namba husika utaikuta ile msg kwenye typing field so unaweza uka edit or send